KILIO CHETU PDF

Furaha Venance Mawasiliano 33 55 58 Mwaka UTANGULIZI Kilio Chetu ni tamthiliya inayojikita kuzungumzia umuhimu wa elimu ya jinsia na ukimwi kwa vijana, Tamthiliya hii inaonesha namna ukosefu wa elimu ya jinsia na ukimwi kwa jamii hususani vijana inavyochangia mimba za utotoni au mimba zisizotarajiwa na maambukizi ya virusi vya ukimwi kwa vijana. Katika tamthiliya hii, mwandishi anaonesha namna ambavyo jamii ikiangaika kujielimisha kuhusu elimu hii ya jinsia na ukimwa na kuwaacha vijana wakiangamia kwa kukosa elimu hiyo, hali hii inaifanya jamii kugawanyika, wapo wanaoona kuwa suluhisho la janga hili la Ukimwi, ni jamii nzima wakiwemo na vijana kupewa elimu hii lakini wapo wazazi wanaopinga wakiamini vijana umri wao wakupewa elimu hii haujafika bado. Je ni nini hatima ya vijana hawa? Basi tafuta kitabu hiki cha Kilio chetu kisome utajifunza mambo mengi sana ni kitabu kinachotakiwa kusomwa na watu wa rika lolote. Tumia tamthiliya mbili kutetea hoja yako. Chagua wahusika watatu wa kike kutoka kila tamthiliya kati ya tamthiliya mbili ulizosoma, kasha onesha kukubalika kwao kama kielelezo cha maisha katika jamii.

Author:Faemuro Kagaramar
Country:Turks & Caicos Islands
Language:English (Spanish)
Genre:Education
Published (Last):8 August 2012
Pages:277
PDF File Size:16.6 Mb
ePub File Size:7.81 Mb
ISBN:706-6-80627-170-9
Downloads:66233
Price:Free* [*Free Regsitration Required]
Uploader:SamugoreDhamira nyingi zimejadiliwa katika tamthiliya hii, miongoni mwa dhamira hizo ni; i. Elimu ya jinsia na mahusiano. Hivyo wazazi wanapaswa kuwaelimisha watoto wao juu ya njia sahihi za kujikinga na matatizo haya. Katika tamthiliya tunaona pande mbili, ule unaoshikilia ukale na upande unaotaka mabadiliko. Baba Anna, anawaelimisha watoto wake juu ya madhara ya kujihusisha na ngono katika umri mdogo, Anna anaelewa na anafanikiwa kukwepa vishawishi.

Hali ni tofauti kwa Mama Suzi anaamini kuwapatia watoto elimu ya jinsia na mahusiano ni kuwaharibu na kuwapoteza. Mmomonyoko wa maadili. Maadili hayazingatiwi tena katika jamii. Watoto kwa wakubwa wote wamepotoka. Tunaona watu wazima wakitembea na watoto wadogo, mfano Chausiku anamahusiano na mtoto mdogo Joti. Pia watoto wamejiingiza katika mahusiano ya kimapenzi, Joti anamahusiano na Suzi.

Watoto hawahawa wanaangalia video za ngono bila kuogopa chochote. Katika ukurasa wa 20 Joti anasikika akiwahamasisha wenzake. Picha ya ngono, matusi angalia! Athari ya sayansi na teknolojia. Maendeleo ya sayansi na teknolojia yameleta mabadiliko makubwa katika jamii, mfano katika tamthiliya hii, watoto wanakwenda kuangalia picha za ngono na kuwafanya waharibikiwe kifikra kwa kutamani kuigiza kile wanachokiona.

Nafasi ya mwanamke katika jamii. Nafasi ya mwanamke ni jumla ya mambo yote ayatendayo mwanamke katika kazi ya fasihi. Mengine huwa mazuri yanayostahili pongezi na machache huwa mabaya yanayostahili kukemewa kwa nguvu. Mfano Joti anamtumia Suzi kwa ajili ya kujistarehesha. Mama Suzi hataki kutoa elimu ya jinsia kwa wanaye. Suzi hana maadili, anajiingiza katika mahusiano ya kimapenzi katika umri mdogo.

Anna ana elimu ya jinsia na mahusiano, wanaume wanashindwa kumdanganya kwa pesa na maneno matamu. Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Suzi na Joti hawakufunzwa vyema na wazazi wao, badala yake ulimwengu unawafunza. Elimu ya jinsia na mahusiano itolewe kwa watoto.

Elimu hii itawafanya waepuke vishawishi. Sheria kali zitungwe dhidi ya watu wanaowalaghai watoto. Kuna watu wazima wanaowaingiza watoto katika vitendo vya kimapenzi kama Chausiku anavyomlaghai Joti. Sheria kali itungwe na isimamiwe kuwakomesha. Wazazi wote washirikiane katika malezi ya watoto.

Baba Anna na Mama Anna wanashirikiana katika malezi ya watoto wao. Matokeo bora yanaonekana. Mgogoro wa Joti na Suzi. Mgogoro huu unasababishwa na tabia ya joti kuwa na mahusiano na wasichana wengi. Suluhisho la mgogoro huu ni Joti kumuomba msamaha Suzi.

Mgogoro wa Suzi na Mama yake. Mgogoro huu unasababishwa na mama Suzi kuvikuta vidonge vya kuzuia mimba katika sketi ya mwanaye. Suluhisho la mgogoro huu ni Mjomba kumwamuru Suzi aende ndani na mazungumzo kati ya Mjomba, Mama Suzi na majirani wengine yanaendelea. Mgogoro kati ya Mjomba na Mama Suzi. Chanzo cha mgogoro huu ni Mjomba kumshauri Mama Suzi ampe elimu ya jinsia na mahusiano binti yake. Mama Suzi anakataa na kusema kufanya hivyo ni kuwafundisha watoto umalaya.

Mgogoro kati ya Chausiku na Joti. Chausiku anamlaumu Joti kuwa anamahusiano na wasichana wengine, anaendelea kulalama kuwa, hata zawadi anazompatia anawapatia wasichana wengine. Chausiku anamtisha Joti kuwa atamchoma moto yeye na visichana vyake. Mgogoro wa nafsi Huu ni mgogoro ambao humpata mhusika peke yake kati yake yeye na nafsi yake.

Anabaki akilia, lakini hakujilaumu mwenyewe, bali anamlaumu mama yake kwa kushindwa kumpatia elimu ya jinsia na mahusiano. Katika tatizo la watoto wengi kuangamia kwa ugonjwa wa UKIMWI, anashauri elimu ya jinsia na mahusiano itolewe ili kuleta ukombozi kwa jamii.

Lakini katika tamthiliya hii, wanaougua ugonjwa huu ni watoto pekee. Kwa kiasi fulani mwandishi hajafaulu. Hata hivyo kazi hii ni bora na inastahili pongezi kwa mafunzo makubwa inayoyatoa katika jamii yetu iliyogubikwa na utandawazi.

CODEX DAEMONHUNTERS PDF

Kilio Chetu

.

F4A22 MANUAL PDF

.

DESCARGAR LIBRO DESENMASCARADO RITA CABEZAS PDF

.

FLORES AZUIS CAROLA SAAVEDRA PDF

.

Related Articles